TGS Salary Scale ni muundo wa mishahara unaotumika kuamua malipo ya watumishi wa serikali katika kada mbalimbali nchini Tanzania. Muundo huu unalenga kuhakikisha usawa katika malipo ya watumishi, kwa kuzingatia vigezo kama ngazi ya elimu, uzoefu, na aina ya kazi. Muundo huu wa mishahara ya wafanyakazi serikalini hutumika katika ngazi mbalimbali ikiwemo katika watumisho wa ngazi za wilaya kama vile watendaji wa mtaa, watendaji wa kijiji, fundi sanifu n.k. Kwa miaka mingi, serikali imekuwa ikifanya marekebisho ya mara kwa mara kwenye muundo huu ili kuendana na mabadiliko ya kiuchumi na kijamii.
Makundi ya Viwango vya Mishahara ya TGS Salary Scale
Viwango vipya vya mishahara ya Watumishi wa Serikali 2025 (TGS salary Scale) vimegawanywa katika ngazi mbalimbali (TGS A – TGS J), kuanzia ngazi ya chini kabisa (TGS A) hadi ngazi ya juu kabisa (TGS J). Kila ngazi ina madaraja kadhaa ambayo yamepangwa kutokana na uzoefu wa kazi, na kila daraja lina kiwango chake cha mshahara. Kwa mfano, ngazi ya TGS A ina madaraja 8, kuanzia TGS A.1 hadi TGS A.8. Mshahara wa kuanzia kwa ngazi ya TGS A.1 ni Tshs. 380,000 kwa mwezi, huku mshahara wa juu kabisa kwa ngazi ya TGS J.1 ni Tshs. 3,380,000 kwa mwezi.
Viwango vya Mishahara ya TGS A Salary Scale
Ngazi ya Mshahara
Kuanzia Julai, 2022/23
TGS A.1
380,000
TGS A.2
388,500
TGS A.3
397,000
TGS A.4
405,500
TGS A.5
414,000
TGS A.6
422,500
TGS A.7
431,000
TGS A.8
439,500
Viwango vya Mishahara ya TGS B Salary Scale
Ngazi ya Mshahara
Kuanzia Julai, 2022/23
TGS B.1
450,000
TGS B.2
461,000
TGS B.3
472,000
TGS B.4
483,000
TGS B.5
494,000
TGS B.6
505,000
TGS B.7
516,000
TGS B.8
527,000
TGS B.9
538,000
TGS B.10
549,000
Viwango vya Mishahara ya TGS C Salary Scale
Ngazi ya Mshahara
Kuanzia Julai, 2022/23
TGS C.1
585,000
TGS C.2
598,000
TGS C.3
611,000
TGS C.4
624,000
TGS C.5
637,000
TGS C.6
650,000
TGS C.7
663,000
TGS C.8
676,000
TGS C.9
689,000
TGS C.10
702,000
TGS C.11
715,000
TGS C.12
728,000
Viwango vya Mishahara ya TGS D Salary Scale
Ngazi ya Mshahara
Kuanzia Julai, 2022/23
TGS D.1
765,000
TGS D.2
780,000
TGS D.3
795,000
TGS D.4
810,000
TGS D.5
825,000
TGS D.6
840,000
TGS D.7
855,000
TGS D.8
870,000
TGS D.9
885,000
TGS D.10
900,000
TGS D.11
915,000
TGS D.12
930,000
Viwango vya Mishahara ya TGS E Salary Scale
Ngazi ya Mshahara
Kuanzia Julai, 2022/23
TGS E.1
1,000,000
TGS E.2
1,019,000
TGS E.3
1,038,000
TGS E.4
1,057,000
TGS E.5
1,076,000
TGS E.6
1,095,000
TGS E.7
1,114,000
TGS E.8
1,133,000
TGS E.9
1,152,000
TGS E.10
1,171,000
TGS E.11
1,190,000
TGS E.12
1,209,000
Viwango vya Mishahara ya TGS F Salary Scale
Ngazi ya Mshahara
Kuanzia Julai, 2022/23
TGS F.1
1,300,000
TGS F.2
1,324,000
TGS F.3
1,348,000
TGS F.4
1,372,000
TGS F.5
1,396,000
TGS F.6
1,420,000
TGS F.7
1,444,000
TGS F.8
1,468,000
TGS F.9
1,492,000
TGS F.10
1,516,000
TGS F.11
1,540,000
TGS F.12
1,564,000
Viwango vya Mishahara ya TGS G Salary Scale
Ngazi ya Mshahara
Kuanzia Julai, 2022/23
TGS G.1
1,660,000
TGS G.2
1,691,000
TGS G.3
1,722,000
TGS G.4
1,753,000
TGS G.5
1,784,000
TGS G.6
1,815,000
TGS G.7
1,846,000
TGS G.8
1,877,000
TGS G.9
1,908,000
TGS G.10
1,939,000
TGS G.11
1,970,000
TGS G.12
2,001,000
Viwango vya Mishahara ya TGS H, I & J Salary Scale
One thought on “Viwango Vya Mishahara Ya Watumishi wa Serikali 2025 (TGS salary Scale)”
Gbpslot1, sounds like a place to chase those wins! The graphics are really cool with some of the newer games, especially. I like the vibe, decent payouts. My experience was positive, might be yours too! gboslot1
Gbpslot1, sounds like a place to chase those wins! The graphics are really cool with some of the newer games, especially. I like the vibe, decent payouts. My experience was positive, might be yours too! gboslot1