Jinsi ya kupata Matokeo NECTA kwa SMS

Jinsi ya kupata Matokeo NECTA kwa SMS

Piga *152*00#
Chagua namba 8.ELIMU
Chagua namba 2.NECTA
Chagua aina ya huduma 1.MATOKEO
Chagua aina ya Mtihani 2.ACSEE
Andika namba ya Mtihani na Mwaka Mfano:S0334-0556-2019
Chagua aina ya Malipo (Gharama kwa kila SMS ni Tshs 100/=)
Baada ya kukamilisha malipo utapokea ujumbe mfupi wa matokeo

;">

====

For English read here

;">

Related Post

One thought on “Jinsi ya kupata Matokeo NECTA kwa SMS

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *